Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimkabidhi chaeti, Mkurugeniz wa Kagera Sugar, Hamadi Yahaya,
ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake wa kuchangia maendeleo ya Elimu
ya Jimbo la Nkenge mkoa wa Kagera,wakati wa hafla ya harambee ya
kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la
Nkenge kununua madawati ili kusadia shule za msingi za Jimbo hilo.
Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, jana usiku. Kushoto ni
Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumta Mshana na (kushoto kwa Makamu) ni Mkuu
wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya
Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la Nkenge kununua madawati ili kusadia
shule za msingi za Jimbo hilo. Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es
Salaam, jana usiku. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumta Mshana
na (kushoto kwa Makamu) ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe,
wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya
Elimu Jimbo la Nkenge kununua madawati ili kusadia shule za msingi za
Jimbo hilo. Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Meza Kuu wakijumuika kuimba wimbo maalumu wa mkoa wa Kagera wa
kuhamasisha maendeleo ya mkoa huo, hususan katika suala la elimu na
kuchangia madawati.
Sehemu ya wageni waalikwa kutoka mkoa wa Kagera waliohudhuria harambee hiyo.
No comments:
Post a Comment