Wednesday 4 December 2013

CCM YAFUNIKA MBEYA MJINI, KINANA AINGIA MKUTANONI KWA BAJAJI, WANANCHI WANOGEWA NA HOTUBA YAKE NA KUTAMANI ASIMALIZE



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika  mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe, Mjini Mbeya leo jioni
 Katibu Mk
 Maelfu ya wananchi wakaiwa wamefurika kwenye viwanja vya Ruanda Nzove kwenye mkutano huo
 SOTE NI CCM:  Wananchi wakimpungia mikono Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akilipiwahutubia  maelfu ya wananchi katika mkutano huo
 Nape akisisitiza jambo kwenye mkutano huo
 'Tanzania, Tanzaniaaaa Nakupenda kwa moyo woteee...." Nape akiimba pamoja na wananchi wimbo huo wa kuamsha ari ya uzalendo katika baada ya kuwahutubia maelfu ya watu kwenye mkutano huo.
 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge Mteule Dk. Asha-Rose Migiro akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano huo
 Bryson Mwasimba aliyekuwa Katibu wa CCM wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, akitoa ya moyoni alipopewa fursa ya kusalimia wanancjhi kwenye mkutano huo
 Katibu Mkuu wa CCM, akiwa na viongozi wenzake kwenye meza kuu ambayo ni ya kawaida, kabla ya kupanda jukwaani. Kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya Dk. Norman Sigala, Kattibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya
 Katibu Mkuu wa CCM, na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwapungua mikono wananchi walipokuwa wakipita barabarani wakienda kwenye mkutano huo
 SISI NI VIJANA WA CCM: Vijana waliokuwa kwenye mkutano huo wakipiga picha kwa simu zao ili kupata kumbukumbu.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akionyesha alama ya dole dumba ya CCM, kuonyesha kuwa mambo safdiiii, alipokuwa akienda kwenye mkutano huo kwa kutumia bajaj
  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akionyesha alama ya dole dumba ya CCM, kuonyesha kuwa mambo safdiiii, alipokuwa akienda kwenye mkutano huo kwa kutumia bajaj
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akionyesha alama ya dole dumba ya CCM, kuonyesha kuwa mambo safdiiii, alipokuwa akienda kwenye mkutano huo kwa kutumia bajaj
Shamrashamra zikiendelea kurindima uwanjani baada ya Kinana kuhutubia

No comments:

Post a Comment