Friday 26 July 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA MAJI IHAKO MULEBA BUKOBA

Rais kikwete akikata utepe kama ishara ya kuzindua mradi wa maji,akiwa na waziri wa maji prof magembe na mbunge wa muleba  prof anna tibaijuka waziri wa ardhi, nyumba na makazi


                                                   Rais kikwete akifungua maji
                      Rais kikwete akimtwisha maji mkazi wa muleba baada ya kuzindua mradi




                        endelea kufuatilia ziara ya rais kikwete jamcobukoba.blogspot.com

No comments:

Post a Comment