Rais Jakaya kikwete amezindua jengo la kisasa la chama kikuu cha ushirika mkoa wa kagera(kcu 1990 LTD),jengo hili lipo katikati ya mji wa bukoba mtaa wa one way,jengo hili linavyumba kwa ajili ya biashara mbalimbali, maofisi na sehemu ya juu ina sehemu ya kulala wageni,Rais kikwete akiongea na wananchi waliohudhulia kwa wingi amesema amekuwa akisaidia sana vyama vya ushirika nchini kulipa madeni,maana kuna watu muda wote ni kutafuna pesa za wakulima,lakini kcu ni tofauti ,inafanya mambo ambayo ni ya kuigwa na vyama vingine vya ushirika na wanaweza kuja kujifunza,
kulia ni meneja mkuu wa kcu ltd bw Vedasto Ngaiza akiwa na mwenyekiti wa KDCU
Na hawa ni wakurugenzi wa bodi ya kcu,wakiwa na viongozi wengine
wajumbe wa bodi ya kcu
huu ni mtaa wa oneway bukoba
mawaziri
mama mushashu mbunge viti maalumu ccm mkoa wa kagera
ni kuhakikisha matukio yanachukuliwa
karibu rais kikwete.....
Rais akisalimiana na wajumbe wa bodi
mwenyekiti wa kcu akisoma risara
mwenyekiti wa kcu akimkabidhi zawadi ya kahawa rais kikwete
rais akifungua jengo rasmi
Rais kikwete akikata utepe
majembe ya jk,waziri makufuri na waziri kagasheki
rais kikwete akihutubia wananchi
picha ya pamoja na rais kikwete
meneja ongera sana...
ongereni jamani....
wafanyakazi wa kcu na bodi ya wakurugenzi
wafanyakazi wa kcu wakiwa na furaha
mwenyekiti wa kcu akiwa na makamu wake
mhandisi wa jengo hili bishanga, akiwa na mkwe na dada yake mwl bishanga
jamcobukoba.blogspot.com tupo kwenye ziara ya kikazi ya rais jakaya kikwete mkoa mzima endelea kufuatilia.
No comments:
Post a Comment