Hii ndio hali halisi ya uwanja wa ndege wa bukoba ambao umewekewa lami, na kesho rais kikwete ataweka jiwe la msingi
Waziri wa uchukuzi dk Arison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habarini jengo la mapokezi na abiri linaloendelea kujengwa katika uwanja wa ndege wa bukoba sehemu ya pili ya uwanja
waziri akiwa na viongozi mbalimbali
Na hapa ndio litawekwa jiwe la msingi na raisi kikwete wanaendelea na maandalizi
, jengo hili ndio linatumika kwa sasa kwa ajili ya kupokea wageni na kuondoka
siku nzima ya leo ndege zimekuwa zikitua na kuondoka kuleta viongozi mbalimbali wanaokuja kwenye ziara ya rais ya kikazi
Eneo la katoma,kokoto zote zinazotumika kujenga uwanja wa ndege zinatoka hapa
waziri Arison mwakyembe alitembelea eneo la kuzalisha kokoto zinazotumika kujenga uwanja
ni mitambo mbalimbali inayotumika kuvunja miamba na mpaka kufikia hatua ya kokoto
mitambo
mkandarasi wa uwanja wa ndege akitoa maelezo kwa waziri
waziri akitaka kuelewa zaidi
waziri mwakyembe akiongea na mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya viwanja vya ndege bw Lambart ndewaita
mitambo
waziri akiwa anaangalia maeneo ya omukajunguti ,eneo litakolojengwa uwanja mkubwea kwa badae
waziri akipewa maelezo kuhusu uwanja utakaojengwa omukajunguti
omukajunguti
waandishi wa habari
Endelea kufuatilia ziara ya kikazi ya rais jakaya kikwete inayoanza kesho mkoani kagera hapa jamcobukoba.blogspot.com
No comments:
Post a Comment