Saturday 11 May 2013

CAMERA YETU MULEBA


Kwa wale wanaoijua muleba miaka ya tisini ni tofauti na ilivyo sasa,muleba barabara kuu ni lami,lakini pia huduma muhimu zote utazipata,lakini pia akina mama hawako nyuma katika utafuta wa kujishughulisha na shughuli za ujasiriamali,camera yetu katika pitapita tulijikuta tunakutana na wamama wachapa kazi,wakiwa katika maeneo yao ya kazi,aliesimama na shamila seif na kulia kwake alijitambulisha kwa jina la mama dani

Mama dani akiwa anaonekana mwenye furaha,mama anaejishughulisha anaishi muleba na ameridhika na maisha yake si tegemezi

Nilipita pita mitaani nikakutana ukumbi wa disco ,nikajua hapa baada ya kazi watu wanaburudika

Ukitaka kuujua mji watu wake ni waelewa kiasi gani ,kuna vitu vya msingi uvipate

Na mahala kama ni pazuri watu watakuja kutembea tu,camera yetu ikakutana na ngudu haruna akiwa na hamimu,mzuzu kwa sana we acha tu.....


Nakwambia muleba si mchezo,hawako nyuma katika maswala ya kwenda na wakati,ngugu kamanzi anaendelea na kazi za video,picha,editing ,tena kwa kutumia vifaa vya kisasa,muleba asikwambie mtu wako juu.

Bwana majura akiwa ofisini,miaka ya nyuma ameishi bukoba mjini akiwa benny bazary ,baadae akaamua kuamia muleba,ndio maendeleo watu wanang'ang'ania mijini wakate unaweza kwenda popote na maisha yakaenda.

muleba kumekucha


Muleba town tukakuta watu wako busy,hii inakupa picha mji unakuwa kwa kasi


ukiwa Muleba unapata huduma za mitandao yote,kwa maana ya mawasiliano na pesa kwa mtandao

Kumbi za sherehe,mikutano nk si tatizo Muleba ,camera yetu moja kwa moja ukumbi wa waisuka,ni ukumbi mkubwa unaoweza kuimili idadi ya watu zaidi ya 1000,na hapa ndo inafanyika REDD'S MISS MULEBA 2013 SIKU YA TAREHE 31-5-2013 IJUMAA,DAYNA NYANGE ATATOA BURUDANI NA WASANII WENGINE KIBAO.


HAPOHAPO WAISUKA IPO NIGHT CLUB KAMA UNAVYOIONA INAPENDEZA ,DISCO KILA IJUMAA,JUMAMOSI NA JUMAPILI,HIYO MULEBA


MULEBA KUMEKUCHA JAMANI

USIKOSE REDD'S MISS MULEBA 31-5-2013 WAISUKA MULEBA

MALAZI KWA MULEBA SI TATIZO TENA HOTEL ZA UKWELI

DUKA HILI LIPO MIGOMBANI KABISA ,HII INAKUPA PICHA MULEBA MAENDELEO NI MAKUBWA

HAPA NDO NILICHOKA MABOMBA MPAKA MIGOMBANI, MAMA NA MTOTO WANACHOTA MAJI,KWA STAILI HII VIJIJINI WATU WATAISHI MAANA MAENEO MENGI MAJI NI TATIZO ILA MULEBA WANASONGA MBELE


NI HOTEL MPYA HIYO INAJENGWA MULEBA YA NDUGU OCTAVIANI MUTALEMWA ANAISHI DAR ILA MAENDELEO ANALETA NYUMBANI NI MFANO WA KUIGWA

NIKAPITA MTAA MMOJA HIVI NIKAKUTANA NA MTAMBO WA KUKAMATA SENENE,MULEBA SI MCHEZO


UKITAKA KUJUA MJI UNAKUWA NI HUDUMA KAMA HIZI KUWEPO,WATU WA KUTOA PESA ILI WATU WAFANYE KAZI WAZALISHE KWA KUWEZESHWA MIKOPO KAMA HIVI ,JAMAA HAWA MULEBA WAPO.


MAJUMBA MAZURI WATU WANAJENGA,MULEBA INAPENDEZA

STAND YA MULEBA HIYO


UKIFIKA MULEBA MJINI DIWANI WA PALE ANAITWA HASSAN MILINGA KWA TIKETI YA CUF, NA MBUNGE WA HAPO NI MAMA ANNA TIBAIJUKA HUPO HAPO ILA KAZI ZINAKWENDA JAMANI.

KIKUBWA MAENDWLEO ITIKADI ZA VYAMA PEMBENI,NDO MPANGO MZIMA



ASIKWAMBIE MTU MULEBA NGOZI HII NDO MAHALA PAKE


WATU WANACHAPA KAZI MULEBA


STAND WATU WANASUBIRI USAFIRI ,MULEBA HIYO


NAKWAMBIA MULEBA JAMANI mmmm

JR SERVICE STATION WAUZAJI WA MAFUTA MULEBA,MJI UNAKUA KITUO CHA KISASA,ONGERA BWANA RWEYEMAMU

JR SERVICE STATION MULEBA WAKISHUSHA MZIGO

WAKATI NARUDI BUKOBA MJINI NIMEFIKA MAENEO YA KAGOMA NIKAKUTANA NA MAAJABU,HUYU MTU KAFUNGA MBO KWENYE PIKIPIKI HEBU JIULIZE KAMA GARI LINAKUJA KWA MBELE YAKE NA NYUMA YAKE LIKO GARI KAMA HIVYO NINI KINAWEZA KUTOKEA, NINA HAKIKA MSOMAJI MAJIBU UNAYO NI AJALI,SASA MIMI NILIAMUA KUSIMAMA ILI KUMUELIMISHA KIJANA HUYU,ILA KATIKA GARI LANGU NILIKUWA NIMEMPA LIFTI MWANAJESHI ,HIVYO TULIPOSIMAMA TU KIJANA ALIGEUZA PIKIPIKI KWA NGUVU BAABA YA KUMUONA MWANAJESHI NA KUTOKA MKUKU KAMA UNANYOONA PICHA YA CHINI

HUYO ALITOKA MKUKU

WATU KAMA HAWA NI TATIZO KATIKA JAMII,JAMANI BADILIKENI MADERAVA PIKIPIKI

TUKAFIKA MUHUTWE,SI UNAJUA PALE NANASI,MACHUNGWA, NA MACHENZA KWA WINGI ,NA WP NILIEMPA LIFT AKASHUKA KUNUNUA MATUNDA


KIMSINGI KWA LEO NDIO SAFARI YANGU ILIVYOKUWA,KIKUBWA MULEBA INAKUWA KWA KASI, KINACHOFUATA MPENDWA NAKULETEA HABARI YA MAMA ANNA TIBAIJUKA USIKOSE KUANGALIA jamcobk.blogspot.com kwa habari za uhakika tupigie simu namba 0788-707027,0754-757157 au 0714-707027,tunaanza mchakato wa matangazo,karibu utangaze nasi.

2 comments:

  1. KWANZA POLENI WAANGA WOTE WA MAFURIKO KATIKA KATA ZOTE ZA MANISPAA BILA KUWASAHAU WAKAZI WA KATA YA IJUGANYONDO,hongera sana jamco pamoja na timu yako kwa kutujuza habari motomoto ,na mpe pongezi zangu mh kagasheki ,kwani kwa mwendo huu utatiza ahadi yako ya kuifanya dunia kuwa kijiji,HAYA NDO MABADIRIKO TUYATAKAYO WADAU NA MWENYEZI MUNGU ATAKUZIDISHIA,
    NAWAOMBA WOTE AMBAO MPO MIJINI MAMBO SAFI WAKUMBUKENI NDUGU ZENU WOTE MLIO WAACHA VIJIJINI PASIPO KUWA NA UBAGUZI ,NA KUMBUKENI
    "kuzaliwa masikini si dhambi ,dhambi ni kufa masikini"

    ReplyDelete