Monday, 6 May 2013

MAFURIKO BUKOBA


NI MAENEO MBALIMBALI MANISPAA YA BUKOBA YALITOKUMBWA NA MAFURIKO

NI MAENEO YA BARABARA YA HAMUGEMBE


OMUKIGUSHA NDIO BALAA
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha manispaa ya bukoba zimesababisha madhara makubwa ya uharibifu wa mali,miundombinu na makazi ya watu. mapemaleo tulifika katika baadhi ya maeneo na kujionea jinsi wakazi wa maeneo hayo wakiangaika kunusuru vitu mbalimbali kuvitoa katika majumba yao ambayo yamevamiwa na maji,maeneo yalioathilika ni omukigusha katika kata ya bilele,buyekera,miembeni,uswahilini, na maeneo yaliyokaribu na mto kanoni


OMUKIGUSHA HIYO

NI BAADHI YA VITU VIKIAMISHWA






WANANCHI WAKISHUHUDIA HALI HALISI


1 comment:

  1. mmhh poleni sana ndugu zangu wa Bukoba, MUNGU atawasaidia kuepukana na hili janga lililotukuta na wito wangu ni kuwa tuchukulie hii hali kama changamoto na fundisho. tujitahidi kuepukana na kuishi mabondeni na sehemu zenye tabia ya kujaa maji aana najua hii hali haijatokea siku mija kwani hata kabla ya mwaka huu Omukigusha palikuwa hapapitiki msimu wa mvua sema naona mwaka huu mvua zimezid. MUNGU ibariki Bukoba!!!!

    ReplyDelete