Wednesday 8 May 2013

BALOZI KAGASHEKI ATEMBELEA WAANGA WA MAFURIKO NA KUTOA MSAADA

Mbunge wa jimbo la bukoba mjini akifanya mahojiano kuhusiana ma mafuriko na mtangazaji wa redio kasibante 88.5
MH Kagasheki akiteta na mkurugenzi wa vision redio Varelian dakika chache kuelekea kwa waanga wa mafuriko
Ni baada ya kumpa habari ya libeneke la jamcobkblogspot.com kuwa liko hewani,pongezi zilitolewa na tukaelekea kwa waanga wa mafuriko
m
hii ndio hali halisi aliyokutana nayo mh mbunge kwa waanga wa mafuriko
msaidizi wa mh mbunge jumanne bingw akitoa maelezo
mh mbunge katika pitapita yakuangalia waanga wa mafuriko alipitia kumjulia hali mwandishi wa habari wa TBC benjamini rwegasira ambae takribani miaka miwili sasa anaumwa yuko ndani akisumbuliwa na ugonjwa wa kupooza,ila kwa sasa anaendelea vizuri
pia alitembelea shule ya sekondari hamugembe
Ni hali ya kusikitisha sana

BALOZI KAGASHEKI ALIONGEA NA WAANGA WA MAFURIKO NA KUWAPA POLE,PIA ALITOA MSAADA WA CHAKULA NA BAADHI YAO WALIOBOMOKEWA NYUMBA ALIWAWEZESHA GHARAMA ZA UJENZI WA KUTA ZA NYUMBA ZAO ,NA ALIWAOMBA KUWA NA SUBIRA KATIKA KIPINDI KIGUMU WALICHONACHO WAKATI SERIKALI IKICHUKUA HATUA YA KUSHUGHULIKIA TATIZO  USUSANI MIUNDO MBINU ILIYOHARIBIKA SANA,LAKINI PIA ALIYAOMBA MASHIRIKA, TAASISI NA WATU BINAFSI KILA MMOJA KWA NAFASI YAKE AWEZE KUSAIDIA WAANGA WA MAFURIKO KWANI MAHITAJI YAO NI MAKUBWA KWA HASARA WALIYOPATA, TUTAENDELEA KUWALETEA ZIARA YA BALOZI KAGASHEKI KWENYE KATA ZINGINE.

1 comment:

  1. Hakika mbunge huyu ni mfano wa kuigwa sio ukishapewa madaraka unatanguliza tumbo mbele............
    Binomugizi Owonyesiga

    ReplyDelete