Ni shule ya Leo Leo
Tuesday, 31 December 2013
HAYA NDIO MATUKIO YA MWISHO 2013,JAMCOBUKOBA.BLOGSPOT.COM TUNAWATAKIA KHERI YA MWAKA MPYA
Sadati Badru Kichwabuta akiwa na Jamco,akiwa merejea nyumbani baada ya miaka minne kuwa Marekani
Ni shule ya Leo Leo
Mr Bube Mkurugenzi wa Leo Leo
Ni shule ya Leo Leo
RAMADHANI KAMBUGA NA KAINE GALIATANO WATIMIZA NDOTO YAO YA MUDA MREFU,NI SHEREHE YA AINA YAKE KUFUNGA MWAKA 2013
Ramadhani Kambuga na Bi Kaine Galiatano wakiwa Walkgard Hotel, sherehe ya kuwapongeza ilifanyika hapa.
Ni eneo rasmi ambalo lilitumika kwa Wageni Waalikwa kupigia picha za kumbukumbu,Mgeni ukialikwa unakubari mwenyeji alichokuandalia.
Ni Wadada warembo waliokuwa sambamba na maharusi
Hakuna kisichowezekana, kijana Kahabuka na juice yake kubwa akifurahia sherehe
Mr & Mrs Mtawala
Pendeza sanaaaaa
Sudi Karatasi akiwa sambamba na kaka mkubwa
Ni maandalizi ya mzunguko maeneo tofauti pande za Manispaa
Msafara kama unavyoona
Pande za kiroyera Beach, hakika mambo yalikuwa burudani shadida
Ulishawahi kukaria shela ya mkeo wewe? MAJIBU UNAYOMWENYEWE
Hili tukio wengi wanalitamani , lakini yote ni majaliwa na uweza wa mungu
Ongera mdogo wangu
Harusi mipango bwana.... asikwambie mtu
Mama na Mwana
Ulishawahi kuendeshwa na mkeo halali, uwa unajisikiaje
Mr Mtensa
Ongereni wadogo zangu, ndoa ni uvumilivu , kuaminiana
Dada mkubwa Afisa furaha ilikuwa kubwa
Mzee Sadick Galiatano Baba wa bibi harusi
Jamani shela ni kitu kingine asikwambie mtu
Mpangilio wa picha jamani
Ni mpangilio wa ukumbini,vinywaji laini, na mambo yanaenda
Wageni waalikwa walipendeza sana,ni mchana kweupe hakuna Giza
Vijana walijipanga
Ngololoooooooo
Mama wa Bi harusi
Mama mdogo wa Bw Harusi
Kaka mkubwa na mama Chui
Twende mama
Keki kwa Mr & Mrs Jamco kama shukrani
Mweka Hazina Bi Sofia Hamad akisindikizwa na shukuru , pendeza sana
Madada wakipokea keki
Cheersssssss
Mr & Mrs Siraji Kichwabuta
Chakula jamani
Mama Achi alipika chakula kitamu
Siwezi hadithia kilichotokea , najitahidi kueleza kwa ufupi
Chezea kamati weweee
Mc Magoma kama kawaida yake anapokuwa na shughuli huwa anavibwagizo vyake kama hivi
Mwenyekiti wa sherehe akieleza jinsi sherehe ilivyopendeza na kila kitu kinawezekana
Kaka mkubwa Ernest Nyambo na Super Mkude wakipanga noti
Mama Mwainunu akikabidhi kitita taslimu kwa maharusi
Picha ya pamoja kamati ya maandalizi ya maandalizi na maharusi

Subscribe to:
Posts (Atom)