Monday 6 November 2017

RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGE BUKOBA, UWANJA KUPANULIWA, MELI MPYA YAJA.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amezindua rasmi u kiasi cha wanja wa   ndege wa Bukoba leo 6-11-2017, akiongea na wanachi waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza katika viwanja vya uwanja wa ndege , Rais Magufuli amewashukuru  wafadhili Benki ya dunia waliofadhili kwa asilimia themanini na seriikali kuchangia  zaidi za cha bilioni sita, amewata wananchi kuutumia uwanja huu kwa ajili ya maendeleo kwa wana Kagera, wakati huohuo Rais Magufuli amesema uwanja wa Bukoba utapanuliwa zaidi ili ziweze kutua ndege kubwa za mizigo na itawezesha kusafirisha mazao mbalimbali, na kipato zaidi,wakati huo Rais Mgufuli amesema katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm mwezi Januari   mwakani serikali inasaini mkataba wa ujenzi wa meli  mpya na Wakorea, katika ziwa victoria na kukarabati Meli ya MV Vctoria na Mv Butihama ili wananchi wananchi waondokane na tatizo la Meli.
 Muonekano wa jengo la uwanja wa ndege
 Moja ya ndege zinazotua uwanja wa ndege Bukoba.

No comments:

Post a Comment