Sunday 18 September 2016

MR & MRS ERICK BIZAMPOLA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA.

Mr & Mrs Erick Bizampola hatimae wameachana na ukapera na kuamua na chama cha wanandoa duniani,ilikuwa ni furaha kwa wawili hawa pale waliposimama mazabauni ni kutamka kwa vinywa vyao mbele ya ndugu ,jamaa na marafiki kuwa wanawekeana mkataba wa kuishi pamoja mpaka hapo mwenyezimungu atakapowatenganisha kwa kifo,mkataba huu ulifanyika katika kanisa katoliki la  Cathedal Manispaa ya Bukoba.Baada ya hapo shangwe zikaendelea katika ukumbi wa Bukoba club.
Ili kutambua harusi ilikuwa juu kiasi gani , ni pamoja na wageni waalikwa waliohudhulia, majibu unayo mwenyewe msomaji.
Hongereni sana .

2 comments:

  1. Kwa kweli harusi hii ilikuwa babu kubwa.Nampongeza sana BOSS WANGU.Mwenyezi Mungu awabariki maharusi wadumu katika upendo WA Bwana.Nyumba yao wamkaribishe kila MTU mwenye kuwa na nia njema nao.Tofauti zao wawe WA kwanza kuzijadili na kuzimaliza wenyewe.Kila mmoja avumilie mapungufu ya mwenzake na kutunziana siri.Hiyo ndiyo ndoa kaka yangu ERICK.

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli harusi hii ilikuwa babu kubwa.Nampongeza sana BOSS WANGU.Mwenyezi Mungu awabariki maharusi wadumu katika upendo WA Bwana.Nyumba yao wamkaribishe kila MTU mwenye kuwa na nia njema nao.Tofauti zao wawe WA kwanza kuzijadili na kuzimaliza wenyewe.Kila mmoja avumilie mapungufu ya mwenzake na kutunziana siri.Hiyo ndiyo ndoa kaka yangu ERICK.

    ReplyDelete