Saturday 20 August 2016

NI MWAKA MMOJA TANGU UTUTOKE ENGINEER LAMBERT NDIWAITA,FAMILIA WAWEKA MISA YA KUMKUMBUKA MARUKU BUKOBA.

 Tarehe 20-8-2015 mwaka jana ilikuwa ni pigo kubwa katika familia ya Ndiwaita wa Maruku Bukoba kwa kumpoteza mpendwa wao Marehemu  Engineer Lambert Ndiwaita,ilikuwa ni vilio na simanzi, leo 20-8-2016 ni mwaka mmoja tangu afafariki,  Mjane wa marehemu , watoto, mama mzazi wa marehemu, ndugu , jamaa na marafiki wanakutana nyumbani kwa marehemu Maruku Bukoba na kujumuika kwa pamoja kwa kuweka ibada ya misa takatifu ya kumbumbuka.(katika picha wa pili kushoto ni mjane wa marehemu Grancia  Nestory Ndiwaita akiwa na watoto wa marehemu kaika kaburi la marehemu.)
 Eneo la kaburi .
 Wachungaji walioongoza ibada takatifu.
jamcoblog.blogspot.com inawapa pole wanafamilia wote,ndugu , jamaa na marafiki,muwe na subira na kumshukuru mungu kwa kila jambo.

No comments:

Post a Comment