Wednesday 27 April 2016

HIVI NDIVYO ALIVYOAGWA MAREHEMU LEOPOLD KAYUNGA HUKO KYAKA MISSENYE BUKOBA.

 Ni ibada ya misa ya mazishi ya marehemu Leopold Kayunga nyumbani kwake Kyaka.
 Mjane wa marehemu akilia kwa uchungu mkubwa.
 Ni wanakamati wakiwa katika maandalizi ya mazishi.
 Picha ya marehemu.
 Bw Alan akiwa na mtoto wa marehemu wakiteta kitu.
 Mkwe, Bw Ruga Baruti(kushoto) akiteta jambo na mwenyekiti wa kamati ya mazishi.
 Heshima za mwisho
 Mh Diwani Wlly Rutta akitoa rambirambi.
 Wanaumoja kutoka Dar wakitoa rambirambi.
 Mstahiki meya wa Manispaa ya Bukoba Chief Kalumuna  akiweka udongo kaburini.
Hapa ndipo alipolala marehemu Leopold Kayunga, pumzika kwa amani.

No comments:

Post a Comment