Monday 8 February 2016

CHAMLINDI NA ESTHER WAWEKA AHADI MPAKA KIFO NDIO KIWATENGANISHE.

 Ilikuwa ni siku ya kihistoria ya maisha ya Bw Chamlindi Mkamba na Bi Esther Mtasingwa katika kanisa katoliki la Chathedral Bukoba mjini walipoweka ahadi ya ndoa takatifu mbele ya mamia ya waumini wakishuhudia wakitamka kila mmoja bila kulazimishwa na kukubali kuishi maisha raha,furaha, upendo, shida na matatizo mpaka kifo kiwatenganishe, vigeregere hoihoi , nderemo na vifijo vilisikika kutoka kila pembe ya kanisa pale walipokubaliana.Ilikuwa ni siku ya 05-02-2016 siku ya Ijumaa majira ya saa 11.15 jioni.
 Wakivishana pete.
 Wakiwa na pete zao.
 Wakipokea vyeti vyao vya ndoa.
 Mandhari ya ukumbi wa wa St Thereza inavyoonekana.
 Walezi wa Bw harusi.
 Bw Hassan na mkewe.
 Kamati ya vinywaji wakiwajibika.
 Katika ubora wao.
 Mr Jamal(Jamco)kushoto akiwa na kijana wake Bw Stephen.
 G smart katika ubora wake.
 Bw Harusi akivishwa koti na mkewe, ni vijimambo tu vilivyojili kwenye tukio ukumbini.
 Mama na wewe wasikie kidogo sauti yako wageni waalikwa...
 Keki ikikatwa.
 Wapambe nao kama kawaida..
 Wazazi wa Bw Harusi.




























No comments:

Post a Comment