Monday 21 December 2015

KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA MAREHEMU GOLLETHA RWEYEMAMU,IBADA YA MISA YAFANYIKA HUKO KISHOJU NSHAMBA.

 Ni mwaka mmoja sasa tangu Ma Golletha Rweyemamu aiage dunia, Familia ya Adv Josephat Rweyemamu imekutana kijijini Kishoju Nshamba Muleba katika ibada takatifu ya kumkumbuka Ma Golletha.
 Kulia Mzee Josephat Rweyemamu(mume wa marehemu) kaka wa marehemu na Mtoto wa marehemu Radi Rweyemamu wakiteta kitu.
 Kushoto Mrs Radi.
 Waalikwa.
 Wageni walitoka pande tofauti ,wakiwemo na wakwe.
 Kwaya katika ubora wao.
 Mapadre wakiwa katika ibada.
 Jamco video production wakiwa kazini.
 Mzee Rweyemamu akiweka mshumaa kaburini.
 Mzee Rweyemamu akitoa machozi pale alipotoa neno la shukrani kwa wageni waalikwa pale alipomkumbuka mke wake.





Endelea kuangalia jamcobukoba.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment