Monday 21 December 2015

MTOTO LOREEN ANGWI APATA UBATIZO.

 Ni mtoto Loreen Angwi akiwa amebebwa na mama yake Jovither Mushashu, na pembeni mama wa ubatizo, muda mchache baada ya mtoto kubatizwa.
 Mtoto Loreen mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kadhaa katika ubora wake.
 Hapo lugha zaidi ni Kijerumani kinahusika...
 Kabla ya kuingia kanisani mama wa ubatizo akijifunza baadhi ya maneno ya kiswahili.
 kwaya.
 Baba Paroko akiendelea na misa takatifu.
 Wakiingia kanisani, pande za Karagwe.
 Kulia mama mzazi wa Jovither akiwa kanisani.
 Mwenye kaunda suti ni baba mzazi wa Jovither.
 Mama wa ubatizo akatoa neno la shukrani kanisani, Mtoto Loreen kazaliwa Ujerumani na kapatia ubatizo Kagera Karagwe .
 Mama wa LOREEN akapeleka shukrani kwa padre kwenye bahasha iliyojaa uro.
 Pendeza sana.
 Shubi katika ubora wake na hasa anapoongea na mtu muhimu kwake.
 Maisha yakiendelea ukumbini .
 Jovither akapata wasaa wa kuwashukuru wageni waalikwa.
 Baada ya maneno ,chakula cha kila aina.
 Ishara ya chakula  kuwa kitamu kabla ya kukira ni kufurahi.
 Kutoka ujerumani mpaka karagwe, hakika ni mapenzi makubwa.
 Keki ikakatwa.
Nilishe nikulishe tuonyeshe tunavyopendana.

No comments:

Post a Comment