Mahafari ya tano ya darasa la saba na mahafari ya tatu ya kidato cha nne yamefanyika katika shule ya Kemebos yenye Chekechea,Shule ya msingi, sekondari na kidato cha tano na sita na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella,Akiongea na hadhara iliyohudhuria Mh Mongella amesema Kemebos ni shule iliyopiga hatua kubwa kitaaluma na imeiletea sifa kubwa Mkoa wa Kagera kwa kuongoza Kitaifa mitihani.(Katika picha kushoto ni Meneja wa shule Bw Katiti, Mkurugenzi wa shule Bw Kareju, Mkuu wa Mkoa John Mongela, Diwani Kata Ijuganyondo Almasoud Kalumuna(Kamala) na Mjumbe wa bodi.
Baadhi ya wahitimu darasa la saba.
Wahitimu kidato cha nne.
Mh Diwani Kamala akisalikmiana na wahitimu.
Mgeni rasmi Kushoto akiwasili.
Mgeni rasmi akipata maelezo kwenye moja ya chuma maalumu kwa ajili ya masomo ya Jografia.
Maabara ya kisasa.
Wanafunzi katika ukakamavu.
Keki kwa ajili ya wahitimu na waalikwa.
No comments:
Post a Comment