Saturday 3 October 2015

BONGE LA SEND OFF,GISSELA MONTANIUS UMETISHAAAA....

 Ni historia mpya katika maisha ya Gissela Montanius pale alipoutangazia umma uliojitokeza kwa wingi katika ukumbi wa Lina's kwenye sherehe yake ya Send off na
  mme wake mtarajiwa,hakika Binti alichangamka na kuonyesha furaha yake,Hongera Gissela.
 Pozz tofauti tofauti.
 Mungu ametenda.
 Gissela katika ubora wake na wapambe.
 Mwenyekiti akifungua sherehe.
 Hakika yametimia,hata siamini.
 Wewe ndio kila kitu katika maisha yangu.
 Wazazi wa Bi harusi mtarajiwa.
Wazazi wa bw harusi mtarajiwa.
 Karibu mme wangu mtarajiwa.
 Mtaalamu wa keki mama simeo akitoa maelekezo.
 Keki ni tamuuu.
 Muonekano ulipendeza sana.
 Kulia ni bw harusi mtarajiwa katika ubora wake.
 Mama mdogo akatoa nasaha kwa mtaraji./
 Mama mzazi wa Gissela,Bi Lucy akatoa neno la shukrani.
 Kamati ilitoa zawadi ya hundi ya milioni moja.
 Nani kama mama.
 Mama na wanae.
 Babu nae akapewa zawadi na mjukuu.
 Mira nazo zilizingatiwa.
 Mama akienda kumkabidhi binti zawadi alizomwandalia.
 Tumekupa kila kitu kinachotakiwa ndani kwako.
 Asante mama kwa zawadi.
 wazazi wa bw harusi mtajiwa wa wakitoa zawadi kwa Gissela.
Full mzuka, ilikuwa ni furaha kwa wanafamilia wote kwa kufanikisha shughuli.

1 comment: