Ni maisha ya miaka tisa tu kwa mtoto Candy Mukanyoisa Libalio yalikatishwa na kifo,kingali wazazi wake Bw na Bi Edwin Libalio wakiwa bado na matarajio makubwa na mtoto wao akiwa ni mtoto wao wa kwanza.Mazishi yamefanyika Bukoba katika kata ya Kagondo kaifo.
Baba mzazi wa Candy Bw Edwin akilia kwa uchungu kumpoteza mwanae.
|
Add caption |
Kushoto ni mama mzazi wa merehemu Candy katika uzuni.
No comments:
Post a Comment