Tuesday 29 September 2015

SAMORA LYAKURWA AHAIDI KULETA MAENDELEO KATA YA KASHAI,NI UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI.

 Kushoto ni mgombea udiwani kata Kashai Samora Lyakurwa akiwa katika ufunguzi wa kampeni za udiwani katika kata ya Kashai,Bw Samora amehaidi kushirikiana na wananchi iwapo watampa ridhaa ya kuwa diwani wao katika kuleta maendeleo katika kata ya Kashai.


 Mwenyekiti wa ccm Bukoba Mjini Bw Yusuf Ngaiza, Diwani aliemaliza muda wake kata ya Kashai.


Bw Samora akizungumza na wananchi.

No comments:

Post a Comment