Wednesday 8 July 2015

MOHAMMED DEWJI ALIZA WANANCHI WA SINGIDA MJINI.

Yakiwa yamebaki masaa machache kabla rais Jakaya Kikwete kuliga na kulivunja Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Mbunge wa Singida mjini Mohammed Dewji ambae pia ni miongoni mwa wafanyabiashara wakubwa Africa anaetambulika kwa utajiri Afrika amewatoa machozi wananchi wa Singida mjini pale aliposimama kwenye mkutano wake wa mwisho kuhutubia kama mbunge wa jimbo hilo na kutamka kuwa hatogombea tena ubunge,Vilio na simanzi vilitawala katika mkutano huu, lakini alisema anawashukuru wananchi wa Singida mjini kwa kumpa heshima kubwa ya kuwa mbunge kwa miaka kumi  na sasa anamkabidhi kijiti kada mwingine wa ccm .

No comments:

Post a Comment