Wednesday 15 July 2015

KIGOGO MMOJA JACK GOSAM AFUTURISHA FUTARI NYUMBANI KWAKE MBEZI BEACH.

a
 Wa pili kushoto  Ni Bw Jack Gosamu akiwa na marafiki nyumbani kwake muda mfupi kabla ya futari,Kigogo huyu amesema na utaratibu wake wa kila mwaka kukutana na ndugu, jamaa na marafiki kipindi  cha mwezi mtukufu wa ramadhani,Bw Gosam amesema pamoja na kufuturisha ,lakini pia amekuwa na utaratibu wa kuweka kisomo na kuwakumbuka marehemu, kutoa swadaka kwa wahitaji, kuwafariji yatima na wajane,Bw Gosam pia amewaomba watu mbalimbali waliojariwa kuwa na uwezo kusaidi wahitaji.Wageni mbalimbali walihudhulia akiwemo waziri wa nchi za  nje na ushirikiano wa kimataifa Mh Bernard Membe.
Waziri wa nchi za nje na ushirikiano wa  kimataifa Mh Bernard Membe akiwa kwenye dua .

 Bw Didas Zimbehile na Bw Jamco.
 Kushoto ni Bw Cathibert Basibila na Amidu Ndyamukama.
 Baada ya Futari picha zikapigwa.
 Kulia Bw Saimon Mwakifamba rais wa shirikisho la filamu Tanzania akiwa Mh  Membe na wadau mbalimbali.
 Bw Gosam (katikati)akiwa na Bw Didas Zimbihile na Bw Jamal.
 Bw Kimu akiwa na Gosam.
 Nyumbani kwa Bw Jack Gosam

 Msanii Dude akiitikia dua
 Wa Kwanza kushoto, mke wa Gosam.
 Dua makubur
 Dude na Kimu wakiitikia dua.

No comments:

Post a Comment