Monday 13 July 2015

KAMA MCHEZO VILE MAKUFULI IKULU ILEEEEE,NI MPANGO NA MATAKWA YA MUNGU,ANGALIA PICHA 136 MATUKIO DODOMA.

 Ni kama mchezo hivi,Hizi ni kauli nilizokutana nazo kila kona niliyopita katika mji wa Dodoma baada ya majina matatu ya kuomba uteuzi wa kugombea urais kupitia ccm yalipotangazwa,Jina la Pombe Makufuli lilipotokea wengi walisikika wakikubali uteuzi wa ccm,Mh Makufuli wakati akianza safari yake ya uhakika akuwa na mambo mengi alipokuwa akitafuta wadhamini mikoani,alikuwa akitumia njia ya barabara kwa kusafiri na akieleza hana sababu ya kutumia njia nyingine kwani anaamini anaweza kufika popote katika nchii hii  maana ameshaweka na kusimamia mtandao wa lami kwa nji nzima,hivyo alijisia fahari kuzunguka na gari, na hakuwa na kamati yoyote ya kuratibu mambo yake wala team Makufuli,kwa ufupi hakuwa  na makundi,Leo tunazungumza lugha ya rais mtarajiwa kwa sababu ni mgombea ambae anakubalika kwa wananchi wa Tanzania na utendaji wake wa kazi unajulikana kwa kiasi kikubwa mpaka kwa mwanachi wa kawaida,kila rakheri rais mtarajiwa Pombe Makufuli.(katika picha ni wakati akiingia kwenye ukumbi wa mkutano mkuu wa ccm )
 Balozi Kagasheki akiwa Dodoma na vijana kutoka Bukoba .
 Ni Kabla ya Halmashauri kuu Dodoma kila pembe ilikuwa ni maswali tu,Amekatwa... Anarudishwa , ni rugha hizo zilitawala.
 Ni kijana akiwa amejichora maneno ya Lowasa,ilikuwa ni shidaaa,hapa kabla ya Halmashauri kuu ya ccm kukaa kujadiri majina matano na kupigia kura matatu ili yaende Mkutano mkuu ili litoke moja.
 Mh Mwigulu Nchemba akiwa na Lazaro Nyarundu wakiwasili white house katika kikao cha halmashauri kuu.
 Ridhiwan Kikwete akiwa nje ya Ukumbi ,kilipofanyika kikao cha halmashauri kuu.
 Mnec wa Mwanza Mh Gachuma akihokiwa na star tv.
 Mnec Antony Dialo mmiliki wa Star Tv akihojiwa na Brwan Muhuza.
 Mzee Pius Ngeze akiongea na Mkuu wa mkoa kagera Mh Mongella.
 Wajumbe na wapambe wote walikuwa Dodoma.
 Ni vijana wakati kikao cha halmashauri kuu ikiendelea wao muda wote walikuwa wakiima Lowasa,Lowasa.walipochoka walikaa wakasikilizia.
 Wengine wakisema ni mafuriko hayazuiliki kwa mkono, wengine wakajibu mbona kuzuilika kwa kidole, ilikuwa ni burudani hizo zilizojitokeza Dodoma.
 Jamco (kulia akiwa  na mdogo wake  Ashiraf kalumuna.
 Muda ukawadia Mh Jakaya akawasili white house kwa ajiri ya maamuzi magumu japo yanaumiza, but  no way.
 Mnec wa Bukoba mjini Abdul Kagasheki akiteta na wadau.
 Hatimae tukaamia kwenye ukumbi wa kisasa mpya wa ccm majira ya usiku.
 Wajumbe.
 Prof Anna Tibaijuka akiwa ukumbini.
 Mkuu wa mkoa wa Kagera  John Mongella (kushoto)akiwa na Balozi Khamis Sued Kagasheki.
 Mama Karume.
 Jamco akiwa  na mkuu wa mkoa Dar Meshack sadick na mh John Mongella.
 Mh Mwajabu na Mjumbe Mama Rubi.
 Tot wakifanya yao.
 Bw Musa akiwa na Jamco
 Mh Makonda, Bw Musa  na Jamco wakiteta kitu.
 Mh Mjumbe Medard Mushobozi.

 Ccm Diaspora kutoka marekani.
 Wana ccm Diaspora kutoka marekani nao walihudhuria.
 Bi Loveness  Mamula(kushoto) mratibu wa wana ccm  marekani akiteta na mh  Mpinga.
 Kushoto ni Bw Erick Byolwango katibu wa wana ccm Marekani.
 CCM IMEENEA DUNIA NZIMA.
 Bint wa mh Rais Kikwete.
 Bw Musa akiteta jambo.
 Mabalozi.
 Mabalozi wa nchi mbalimbali.
 Afisa kazinja.
 Richard Kasesela
 Makufuli ghafla akaingia ukumbini ilikuwa ni shidaaa, hata kura hazijapigwa.
 Furaha ikatawala.
 Mh Membe akiteta na mh Mwigulu Nchemba.
Mh Rose migiro akaingia ukumbini


Endelea kuangalia jamco blog.

No comments:

Post a Comment