Sunday 28 June 2015

KINANA AITEKA MWANZA AHITIMU DARASA LA MIEZI 26 YA KUKUTANA NA WANANCHI



 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akihutubia wakazi wa Mwanza  kwenye uwanja wa Furahisha.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mwanza mjini waliofurika kwenye uwanja wa Furahisha.
 Umati wa watu walifurika kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye uwanja wa Furahisha.
 Malkia wa Mipasho akiongoza kundi la TOT kwenye uwanja wa Furahisha.
 Kila mtu alihudhuria mkutano.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwaga wananchi waliojitkokeza kwenye mkutano wa hadhara Furahisha jijini Mwanza.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaaga wakazi wa Mwanza mjini baada ya mkutano kumalizika

No comments:

Post a Comment