Sunday 28 June 2015

SALOME UTAWAACHA WAZAZI WAKO NA UTAAMBATANA NA MMEO GREGORY NAE MTAKUWA MWILI MMOJA.

 Ilikuwa ni siku ya furaha ya Bw Gregory na Bi Salome katika kanisa katoliki la Kasambya wilayani Missenye Kyaka walipotamka mbele ya padre na waumini kibao waliofika kushuhudia wakiweka mkata wa ndoa,mara baada ya kusaini makubaliano uliondoka msafara uliotanguliwa na shamrashamra za kila aina, honi, vigelegele vikitawala wakizunguka maeneo mbalimbali ya Bunazi na badae ukumbini.
 Mwanamke pozz
 Bi Salome alinoga haswaaaa.
 Hii ni mara moja tu,na hata ukirudia aiwi kama ya kwanza.
 Mke wangu pokea pete hii iwe ishara ya upendo wangu kwako na uaminifu wangu kwako, nitakupenda, nitakulinda ,nitakupenda katika raha na shida.
 Mme wangu pokea pete hii iwe ishara ya upendo na uaminifu wangu kwako.
 Mr Ema na mkewe
 Mc Ema
 Wazazi wa bw harusi wakiingia ukumbini.
 Mama mzazi wa bi harusi
 Kofia umeiona.
 waalikwa.
 Mpangilio wa stage, krki na shampein.
 Mr Jamco na Mc Ema kikazi.
 Nawashukuru kwa kumlea mke wangu vema.
 Hakika kazi kubwa mmefanya karibuni keki.
 Mc Ema kikazi zaidi.
 Tuikateee.
 Hakika ukiuukata moyo wangu,utaona furaha yangu siku ya leo mme wangu.
 Leo natimiza nilichokueleza siku ileeeeee.
 Bw harusi na Bi harusi wakiwa na wenzao wakiimba nyimbo ya kwaya kuonyesha uwezo wao katika kuimba neno la bwana.
 Kunywa mke wanguunakumbuka siku ile tunaimba kwaya nilikwambia nitakunywesha siku moja.
 Akavishwa kanzu Bw harusi.
 Ni baba mzazi wa Grigory akikabidhi zana za kimila kuashiria sasa anakabidhiwa familia.
 Mama mzazi wa Bw harusi akamzawadia mwanae.
 Wazazi upande wa Bi Harusi wakawapongeza.
 Mr Ema na mkewe wakatoa cheki ya fedha kadhaa kwa maharusi.
 Dada kwa raha zake.
 Wamjini utawajua,uzee mwisho Mutukula.
 Mwenyekiti nae akafanya yake.
 Bi Harusi mdogo ni shidaaaa
 Kamati ya usafiri ikatambulishwa.
 Bw Harusi nae akaonyesha ujuzi wa kusakata rumba.
 Kamati ya burudani ikatambulishwa.
 Ma brighter wakionyesha uwezo wao katika kusakata rumba.
 Mahaba niueee.
Jamcobukoba.blogspot.com inawatakia maisha ya amani na upendo.

2 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Incredible, May God always guide in you matrimonial life.

    ReplyDelete