Tuesday 20 January 2015

MZEE FRANCIS GEORGE AZIKWA RUBYA MULEBA.

Watoto wa marehemu wakiwa na majonzi wakati wa ibada ya misa ya mazishi,Marehemu Francis amefariki akiwa na umri wa miaka 96, katika uhai wake alibahatika kuzaa watoto tisa, wanne wa kiume na watano wa kike, mpaka mauti yanamkuta watoto wote wa kiume walishafariki na wamebaki watano wa kike.
Dk Edward mmoja wa wajukuu wa marehemu.
Watoto wa marehemu wakilia kwa machungu.
Akiweka udongo.
Umati mkubwa uliokuja kumzika mzee Francis.
Mzee Abubakari Kagasheki na mkewe.
Padre akitoa maubiri.
Dk Bugimbi akitoa heshima za mwisho.
Wasifu wa marehemu ukisomwa.
Mjukuu akisoma wosia ,wakidai chao.

No comments:

Post a Comment