Mawaziri wa nchi tatu wa kwanza kulia waziri wa miundo mbinu wa rwanda Silas Rwakabamba, waziri wa Nishati na madini wa Tanzania Sospeter muongwa, na waziri wa Nishati wa Burundi Manirakiza C'ome katika picha ya pamoja katika viwanja vya bukoba hotel E.L.C.T bukoba
mkutano wa kuwekeana mkataba umefanyika bukoba hotel
wajumbe kutoka katika nchi ya Tanzania, Burundi na Rwanda
mawaziri wa nchi tatu
bw seifu mwakilishi kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa kagera
Eng Innocent Luoga Naibu kamishina msaidizi wa nishati Tanzania akieleza mchakato wa mradi
Bw Paul Baringanire mwakilishi wa benki ya dunia ambao ndio wafadhili wakubwa wa mradi wametoa dora za kimarekani milioni 340 kwa ajili ya kufua umeme wa rusumo
Bi Stella Mandago mwakilishi wa benki ya maendeleo ya Afrika ambao watagharamia usambazwaji wa umeme wa rusumo katika nchi tatu, Tanzania,Burundi na Rwanda
waziri wa Burundi Manrakiza c'ome ambae alikuwa akiongea kwa kifaransa na kutafsiriwa na mkalimani akieleza namna walivojipanga katika mradi
Waziri wa miundo mbinu wa rwanda Silas rwakabamba akieleza mikakati ya nchi yake katika utekelezaji wa mradi.
waziri wa nishati na madini wa Tanzania pro peter muongwa akieleza jinsi Tanzania ilivyojipanga katika mapinduzi ya nishati, amesisitiza nchi zote kuwa makini katika utekelezaji wa mradi huu ambao zaidi ya miaka arobaini iliyopita umeshindwa kutekelezwa.amesisitiza hakuna maswala ya kujuana na siasa katika mradi huu, kila nchi ihakikishe inaweka watendaji makini ambao watachapa kazi , na maswala ya rushwa ni mwiko katika mradi
picha ya pamoja mawaziri na wafadhili wa mradi
picha ya pamoja mawaziri , wafadhili na management ya nchi tatu
waziri wa Tanzania akisaini mkataba
mawaziri wa nchi tatu wakiwa na mikataba yao
waziri wa rwanda akisaini mkataba
mawaziri wa nchi tatu wakiwa na wajumbe wa bodi
No comments:
Post a Comment