Tuesday 19 June 2018

SAFARI YA MWISHO YA MA MARIA ANDREA NDUKEKI,MIAKA 92 YA UHAI WAKE.


Wajukuu
Ndugu wa marehemu
Mc Jerry akiongoza ratiba
Wajukuu wakikusanya chao kabla ya Ibada kuanza.


 Vikundi mbalimbali vikitoa rambirambi
 Historia ya marehemu ikisomwa
 Mjukuu wa marehemu Ndugu Ernest Nyambo akielezea maisha ya marehemu.
Wajukuu wakikusanya mpunga.

Mwili wa marehemu ukitolewa ndani li Ibada ya mazishi ianze.
Pumzika kwa amani Ma Maria Andrea Ndukeki.

1 comment:

  1. Poleni wafiwa wote Mungu amuondolew adhabu ya kaburi mama yetu

    ReplyDelete