Tuesday 26 September 2017

SEND OFF PARTY YA GEORGIA MSHASHU YAFANA,KIYANGA KARAGWE.

 Ilikuwa ni siku ya pekee katika familia ya Mshashu, binti yao mpendwa Georgia Mshashu alipoipa heshima kubwa familia na kumfanyia Send off party ya nguvu ya kumuaga, sherehe iliyoudhuliwa na mamia ya waalikwa kutoka sehemu mbalimba ilifana san( katika picha ni Bi Georgia Mshashu katika moja ya pozz a nguvu.)
 Wapambe katika pozz.
 Matron katika ubora wake, Bi Upendo  Mshashu.
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi.
 Mwanamke kujiamini, Bi Georgia akitambulisha familia.
 Hapa ni Sendo off, watu wametokelezea hatariiiiii.
 Bw Raymond(mtarajiwa ) na upande wa kulia ni best man.
 Asante Ray kwa kuja kwetu,  Naaaa kuuupendaaa.
 Mama mzazi wa Bi Georgia.
 Baba mzazi wa Bi Georgia.
 Baba mkubw wa Bi Georgia.
 Mama mdogo wa Bw Raymond.
 Dada wa Raymond.
 Mc wa shughuli na vimbwanga vyake.

Hongera sana familia ya Mshashu kwa kufanikisha send off, jamcobukoba.blogspot.com inawapa pongezi kubwa, kwa mahitaji ya video , picha na kurushiwa kwenye blog yetu wasiliana nasi kwa simu namba  0788-707027 ,0714-707027, 0754-757157 au 0622-757157.

No comments:

Post a Comment