Sunday 15 January 2017

EMMANUEL SAKWANDA NA JUDITH JUSTIN LAMBERT WAFUNGA PINGU ZA MAISHA.

 Emmanuel pokea pete hii iwe ishara ya uaminifu wangu kwako,nahaidi kukupenda katika raha,magonjwa na furaha katika kipindi cha maisha yangu yote; Ni maneno yaliyotamkwa  kutoka kinywani kwa Judith Justin Lambert katika kanisa la St Peter mbele ya waumini wa kikatoliki, wazazi , ndugu na jamaa na marafiki wakati akimvisha pete ya ndoa Emmanuel Sakwanda raia wa Zambia,Bi judith kwa kujiamini kwa kile alichokiongea tena kwa lugha ya kingereza,kwa sauti  nyororo alimaliza zoezi la kuvisha pete kama alivyofanya Bw Emmanuel hapo awali,Baada ya ibada ya ndoa shangwe ziliamia katika viwanja vya wazi katika hotel kubwa ya viwango Serena hotel ,Hakika wageni wa kila aina walihdhulia,mpangilio wa shughuli kwa maana ya mkao, chakula , vinywaji , burudani  nk ilikuwa hatariiiiii..... usikose kuangalia jamcobukoba.blogspot.com kuja kilichoendelea na kujili baada ya kanisani.
 Wanameremeta..
 Kushoto ni mke wa Bw Rashid Othuman na mme wake wakifurahia jambo.
 Kulia na Bw Justin Lambert akiwa nawazazi wenzie baada ya ibada ya ndoa.
 Ni nje ya kanisa la  kikatolikiSt Peter  baada ya ibada ya ndoa.
 Gari walilopanda maharusi.
Hongereni sana maharusi,endelea kufuatilia jamcobukoba.blogspot.com ili upate kujua kilichofanyika katika ukumbi wa serena hotel .

No comments:

Post a Comment