Friday 9 September 2016

KILIMANJARO QUEENS YAIPA KICHAPO CHA GOLI 3-0 BURUNDI,UWANJA WA KAITABA BUKOBA.

 Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania Kilimanjaro Queens imeibuka kidede kwa kuifunga timu ya wanawake Burundi goli 3-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Kilimanjaro Queens wakicheza kabumbu  kwa uhakika na kujiamini katika uwanja  mpya uliowekwa nyasi bandia,vijana walionyesha kabumbu safi na kuonyesha uwezo mkubwa na kuwafanya mashabiki waliofurika katika uwanja wa kaitaba muda wote kushangilia kwa nguvu.
 Wakipasha kabla ya mechi.
 Burundi wakiingia uwanjani.
 Wimbo wa taifa ukaibwa wa nchi ya Burundi na Tanzania.
 Timu ya Burundi wakiimba wimbo wao wa Taifa.
 Tanzania wakiimba wimbo wa Taifa.
 Mkuu wa mkoa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu akikagua timu.
 Waamuzi'

No comments:

Post a Comment