Thursday 28 July 2016

MWENGE WA UHURU WAIZINDUA RASMI BIKAIJAMPOLA HOTEL,KEMONDO BUKOBA.

 Mwenge wa uhuru unaendelea kukimbizwa katika mkoa wa Kagera,Katika wilaya ya Bukoba vijijini umezindua miradi mbalimbali ikiwemo hotel ya Bikaijampola iliyojengwa Kemondo, Bikaijampola hotel  ni hotel ya kisasa yenye kutoa huduma ya malazi, chakula na vinywaji,(katika picha ni kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa akiwa na wamiliki wa Bikaijampola hotel Bw Amdani na mkewe wakiwa wamebeba mwenge wa uhuru)
 Muonekano wa Bikaijampola hotel.

No comments:

Post a Comment