Tuesday 26 July 2016

MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MASHUJAA MKOA WA KAGERA.

 Mkuu wa mkoa wa Kagera meja jenerali mstaafu Salum Kijuu akiweka shada la maua kwenye  sanamu ya Mayunga uwanja wa uhuru platform Bukoba mjini uswahilini maarufu uwanja wa mayunga katika maadhimisho ya siku ya mashujaa 25-7-2016.
 Bw Kamuntu afisa utamaduni Bukoba vijijini akifuatilia  kwa umakini matukio yanayoendelea uwanjani.
 Katibu tawala mkoa wa Kagera mwenye suti nyeusi.
 Wananchi.
 Maafisa wa serikali.
 Kushoto Mkuu wa wilaya ya Bukoba akiwa na mkuu wa Mkoa Kagera.
 Gwaride likikaguliwa.
 Mstahiki meya  Manispaa ya Bukoba Chief Kalumuna akiweka upinde.
 Baba askofu  Keshomshahara akiongoza sara ya kuwaombea marehemu.
 Shekhe akisoma dua ya kurehemu.
 Mkuu wa mkoa wa kagera (kulia) akisalimiana na mmoja wa wanajeshi waliopigana vita ya dunia.

No comments:

Post a Comment