Sunday 20 March 2016

NYUMBA INAPANGISHWA KWA SHUGHULI ZA KIOFISI,IKO NYAMKAZI BUKOBA,KARIBU NA UWANJA WA NDEGE.PIGA SIMU 0715936119, AU +447525175337 AU 0755980477.

 Nyumba nzuri ya kisasa  na kubwa yenye vyumba vinne,sebule,sehemu ya kulia chakula,jiko,store na yenye thamani za ndani(Furniture) inapangishwa kwa matumizi ya ofisi ,inapangishwa kwa kampuni,shirika au mtu binafsi kwa shughuli za kiofisi,ipo Bukoba mjini Nyamkazi karibu na uwanja wa ndege ,ina eneo kubwa ambalo unaweza kulitumia kulingana na matakwa yako,usalama wa kutosha,ina uzio umezunguka eneo lote la nyumba. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0715-936119 au +447525175337 au 0755-980477.
 Ina eneo kubwa la kutosha.
 UZIO UMEZUNGUKA ENEO LOTE LA NYUMBA.
PIGA SIMU NAMBA 0715-936119 AU +447525175337 AU 0755-980477.

No comments:

Post a Comment