Sunday 20 March 2016

BIJAMPOLA HOTEL KUFUNGULIWA PASAKA 27-3-2016 KEMONDO, YAMOTO BAND KUTUMBUIZA.

Ni muonekano wa Bijampola hotel iliyoko Kemondo Bukoba inayofunguliwa rasmi 27-3-2016 siku ya pasaka,Ni hotel ya kisasa itakayotoa huduma za malazi, chakula na vinywaji,katika ufunguzi huu itakuwepo bendi kubwa na maarufu ya Yamoto bend kutoka jijini Dar es salaam, hiyo wakazi wa Bukoba pasaka mpango mzima Kemondo. Karibuni sana.
Kwa ndani.
Sehemu ya kuingilia.
Sehemu ya ukumbi kwa ajili ya mikutano, semina, harusi nk.
Ukumbi mzuri,mkubwa na unapendeza.
Muonekano wa chumba cha double.
Chumba cha single.
Hii si ya kukosa.

No comments:

Post a Comment