Wednesday 11 March 2015

HII NDIO SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU JAPHET KABYEMELA.

Marehemu Japhet Kabyemela alizikwa 7-3-2015 siku ya Jumamosi nyumbani kwake Kihororo Kanyigo,na mazishi yake yaliudhuriwa na maelfu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali.



Mwili ukiwa ndani.
Picha ya marehemu katika ujana wake.
Mtoto mkubwa wa marehemu katika majonzi makubwa.
Fundi mitambo akiwa kazini.
Mzee Gabone(mkwe) katika familia, wa kwanza kushoto.
Kinana huyu aligusa hisia za watu pale alipokuwa akiimba nyimbo za dini.
Wajukuu wakiwa wanatimiza mila na desturi,Mjukuu wa marehemu amaeitwa Japhet anaishi Uingereza  nae akiwa na wenzake wakimuelekeza .(Okusilibya)
Kinara wa wajukuu, mtu wa msimamo usioyumba.
Hapa Japhet akiwa ameteka msalaba a kusababisha misa isianze wajukuu wakitaka milioni moja iwekwe mezani na mambo yaendelee, pamoja na mikwala mingi kutolewa ikiwemo na viongozi wa dini kutishia kuondoka, wajukuu walikuwa na msimamo mpaka milioni iwekwa mezani. Kulikuwa hakuna namna pesa iliwekwa mezani na ratiba ikaendelea, chezeaa wajukuuu weweee.
Wajukuu walikaba kila kona.
Asimwe.
Salumu Mawingu, Majid Kichwabuta, Haruna Goronga na Optat Rwebugisa a.k.a Katibu.
Watu wakatoa ushuhuda namna walivyomfahamu marehemu.
Mwili ukitolewa ndani ili ibada ianze,baada ya mbinde kubwa ya wajukuu.
Mwenyekiti wa kamati ya msiba Mjuni Kataraiya akitoa maelezo kabla ya misa kuanza.
Heshima za mwisho.
Wakati mgumu kwa watoto wa marehemu.
Pamoja na makeke yote wajukua  wakati wa kuaga mwili walikuwa wadogo na machozi mengi sana, maana marehemu waliishi nae kama rafiki.
Mama  Kairuki akitoa ushuhuda.
Mzee aliefanya kazi kwa muda mrefu na marehemu.
Japhet akitoa salamu na pole akiwakilisha wajukuu wanaoishi nje ya nchi.
Ibada ikaanza.
Mama Matungwa muandaaji wa mashada ya maua.
Mazishi .
Hapa ndio safari ya mwisho ya marehemu Japhet Kabyemela akiwa ameshalala kati nyumba yake ya milele.
Wajukuu katika picha ya pamoja na Askofu Mushemba.
Endelea kuangalia Jamcobukoba.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment