Sunday 17 August 2014

MWILI WA MAREHEMU METHOD MUGONZIBWA PAUL BASHEREKA WAWASIRI KIJIJINI KWAO KITENDAGURO BUKOBA MAZISHI JUMATATU 18-8-2014

 Ni jeneza la marehemu Method Mugonzibwa Paul Bashereka ukiwa umewasilri kutoka Arusha,Marehemu alikuwa ni mtumishi katika jeshi la polisi akiwa ni daktari, Marehemu alifariki 13-8-2014 na atazikwa 18-8-2014, ameacha mjane na watoto.
 Marehemu Method atazikwa 18-8-2014 nyumbani kwao Kitendaguro.Ratiba itaanza saa nne asubuhi waombolezaji kuanza kuwasiri,saa saba mchana mpaka saa nane na nusu ni waombolezaji na wafiwa kupata chakula, saa tisa taratibu za mazishi zinaanza.
 Mwili wa marehemu Method ukiwasiri kijijini kwao Kitendaguro Bukoba
 Vilio vilitawala
 Ilikuwa ni vilio
 Dada wa marehemu mwili ulipowasiri
 Dada wa marehemu Liberata Bashereka akimfariji  mama yake mzazi
 Mjane wa marehemu(mwenye kitam,baa cheusi) akisaidiwa kuingizwa ndani
 Baba wa marehemu akimpa pole mjane wa marehemu
 Jeneza likiingizwa ndani
 Wafanyakazi wanzake na marehemu waliosindikiza mwili wa marehemu kutokea Arusha
 Mama mzazi wa marehemu akiwa amemshika mjane wa marehemu wakilia kwa machungu makubwa
 Shemeji wa marehemu Mama Adventina Matungwa akiwa na watoto wa marehemu
 Waombolezaji
 Marehehemu alikuwa ni askari wa jeshi la polisi Mkoani Arusha
 Picha ya marehemu
 Dada wa marehemu(Matrida) akiwa katika majonzi makubwa
 Ndugu wa marehemu
Baba mzazi wa marehemu mzee Paulo Bashereka,Romward Bashereka, Mzee Mashasi,Mzee Kassimu wakiwa kwenye majonzi, Mazishi yatafanyika tarehe 18-8-2014  kuanzia saa tisa alasiri katika kijiji cha Kitendaguro Bukoba.

No comments:

Post a Comment