Monday 18 August 2014

MILIO YA BUNDUKI,VILIO VYA NDUGU ,JAMAA NA MARAFIKI WAKATI WA MAZISHI YA DK METHOD PAUL BASHEREKA KIJIJINI KWAO KITENDAGURO

 Mamia ya wakazi wa manispaa ya Bukoba na maeneo mengine wamejitokeza kwa wingi kumzika Dk Method Paul Bashereka katika kata ya Kitendaguro Manispaa ya Bukoba.Marehemu ambae alikuwa ni askari wa jeshi la Polisi amezikwa kidini na kupewa heshima zote za jeshi la polisi.
 Eneo maarumu la kuzika familia ya Bashereka
 Mikakati ikipangwa kufanikisha shughuli nzima
 Chakula kikaombewa
 Watu walipata chakula kabla ya ibada ya mazishi
 Ma Mpirra akipata chakula kabla ya ibada ya mazishi kuanza
 Mjane wa marehemu
 Mjane  wea marehemu mwenye kitambaa cheusi kichwani
 Bw na B bi Paul Bashereka
 Ibada ya mazishi ikiendelea
 Baba mzazi wa marehemu Mzee Paul Bashereka akimuaga mwanae
 Ma Berena mama mzazi wa marehemu akimuaga mwanae
 Riberata akimuaga kaka yake, inauma sanaa
 Heshima za mwisho
 Mjane wa marehemu akifarijiwa
 Kushoto  ni mkuu wa kituo cha polisi Bukoba
 Mwakirishi kutoka jeshi la polisi Arusha akisoma historia ya marehemu na kutoa rambirambi kwa familia
 Mdogo wa marehemu Romward
 Mwenyekiti wa ccm Bukoba Vijijini akitoa rambirambi kwa wafiwa alisoma na marehemu Mugeza sekondari
 Mkwe kutoka maruku akitekeleza mila na desturi za kihaya
 Baba Askof Methodius Kilain akitoa neno kwa wafiwa
 Bw Matungwa akisoma historia ya marehemu na kutoa neno la shukrani kwa niaba ya familia
 Shoti kulia, shot kulia, ni mwendo wa kijeshi tu
 Heshima toaaa
 Hawa ndio askari waliobeba jeneza la marehemu
 Jeneza likiwekwa kaburini
 Mapadre wakiweka udongo
 Wakati mgumu kwa mjane wa marehemu
 Mjane wa marehemu akiweka udongo
 Bw Robert Matungwa akiwa na mkewe Adventina Matungwa wakiweka udongo
 Ndugu wakiweka udongo kaburini
 Mjane wa marehemu katika majonzi makubwa
  Baba Askufu Methodius Kilain akiweka shada la maua
 Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua
 Ndugu wote wa marehemu wakiweka shada la maua
 Ma Meck akiweka shada la maua kwa niaba ya mbunge viti maalumu ccm mkoa wa Kagera Mh Benardeta Mushashu
 Watu wote kimyaaaa
 Zilifyatuliwa risasi angani kama insharah ya heshima za jeshi la polisi kwa marehemu
 Protoko za kijeshi
 Watoto wa marehemu baada ya mazishi
 Na hii ndio nyumba ya milele ya Marehemu Method Mugonzibwa Paul Bashereka
 Women group wanachama wa mama Matungwa baada ya mazishi
 Wamama baada ya mazishi
 Mzee Baruti (kushoto) akiwa na mzee Mtungi
 Mapadre baada ya mazishi wakiwa nyumbani kwa Bw Robert Matungwa kaka mkubwa wa marehemu
Jamcobukoba.blogspot.com tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wote kwa msiba wa mpendwa wao marehemu Method Paul Bashereka. Apumzike kwa amani  mwanga wa milele ehe bwana umuangazie.

1 comment:

  1. Jamani Method 2014 kumbe haupo duniani ,nimeumia sana ,weww uliyepost hii taarifa ubarikiwe sana jamani Method Arusha haupo tena ,upo Bukoba tena kaburini ,sikufuru Mungu Ila nimeumia Sana ,poleni familia yoyote ya Mugonzibwa ,nitakuenz daima ,mpaka tutakapoonana tena katika ufufuo wa wafu ,nitakukumbuka na tutasalimiana tena ,pumzika mtumish wa Mungu ,Amen

    ReplyDelete