Sunday 6 July 2014

SABASABA BUKOBA LEO 6-7-2014 ,MAONYESHO YALIYOANDALIWA NA KAMPUNI YA KAIDEP

 Camera yetu katika maonyesho ya sabasaba katika viwanja vya jengo la ccm Bukoba, Ikiwa imebaki siku moja kufikia kilele cha maonyesho tumetembelea mabanda mbalimbali muda wa asubuhi, tumeweza kujionea  wajasiliamali, makampuni ya ndani  na nje ya nchi yakiendelea na uhuzaji na utangazaji wa bidhaa mbalimbali.Maonyesho haya yamekuwa yakiandaliwa na kampuni ya KAIDEP
 Mmoja ya banda ambalo limekuwa chachu na kuonyesha kwa vitendo  namna wanavyomuwezasha mwananchi kuweza kutumia rasilimali zinazomzunguka kuweza kuzalisha vitu mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya kil;a siku katika jamii
 Bw Nicholaus Jovin Basmaki akionyesha bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wajasilimari waliopata mafunzo katika kampuni yaMKJ ambayo imekuwa ikitoa mafunzo mbalimbali kwa wananchi ili waweze kuondokana na dhana ya umaskini wakati  kuipitia MKJ unaweza kujikwamua na kujiendeleza kimaisha.

 Bw Nicholaus mtendaji wa kampuni ya KMJ  kwa upande wa Bukoba akitoa maelezo kwa Ndugu Revina Oscar Kikoyo kazi mbalimbali zinazofanywa na KMJ
 Bi Revina akisoma  vitabu mbalimbali vinavyofundisha ujasiliamari
 Bidhaa za KMJ

 Banda la Kasibante Redio
 Tshirt zinauzwa katika banda
 Mtangazaji wa Kasibante Redio Joyce Lobozi
 Wadau mbalimbali
 Mashine mbalimbali kwa ajili ya watu wenye kiharusi, pressure nk
 Kazi za mikono

 Lipo jiko la kisasa unatumia vipande vya mkaa 5 AU KUNI 3

 Mh Mrema akivinjari viwanja vya sabasaba
 Lake Gas nao wamo
 Huduma ya chakula pia unapata
 Mtangazaji wa Kasibante Redio Jane Rwomile
 NMB nao ndani ya sabasaba

Benki ya weakulima
BANDA LA MOVIT
Banda la movit
Makapeti kila aina
Wakongo nao wamekuja
Huyu ni mbunifu kaja na biashara ya peke yake ,anauza huyoo hana mpinzani
Ni mpitompito
Sajid akiwa kazini
Ni pilikapilika sabasaba
 Mwana ribeneke wa jamcobukoba.blogspot.com ndani ya banda la kasibante redio 88.5
 Ni kuchukua matukio kila pande
 wadau wakinunua kadi za salamu banda la kasibante redio
USIKOSE KILELE NI 7-7-2014 JUMATATU

No comments:

Post a Comment