Wednesday 23 July 2014

APIGWA SHOKA LA KICHWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU


Baada ya madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa huyu mkazi wa Mwanza, aliye fumaniwa na kupigwa Shoka ya Kichwa akiwa na mke wa mtu, hatimaye wamefankiwa kuchomoa shoka hilo kichwani lakini hali yake bado mbaya akiwa katika chumba cha ICU kwa uangalizi zaidi. ''Mke wa mtu sumu''.

No comments:

Post a Comment