Monday 4 November 2013

TWANGA PEPETA WAWADHIHIRISHIA WAKAZI WA BUKOBA KUWA WAO KWELI NI KISIMA CHA BURUDANI KISICHO KAUKA, HAFSA KAZIJA AWANYOOSHEA MIKONO JUU!!!


BENDI ya muziki wa dansi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ jana usiku iliwasha moto wa kutosha na makamuzi ya aina yake ndani ya ukumbi wa Lina's Club Bukoba mjini. Nakuwadhihirishia wakazi wa Kagera kuwa wao ni Kisima kisichokauka baada ya Kuwasha moto huo uliokuwa unalipuka lipuka mpaka raia  wakachoka wenyewe japo wengi wao walijua mwisho wa show hiyo ni saa sita kumbe la..muziki wa dansi ukasongeshwa mpaka usiku mneneee..
Wanenguaji wa bendi hiyo wakionesha mambo yao jukwaani.

Kulia ni Haji akitabasamu baada ya kutua Bukoba kujionea mwenyewe wakazi wa Kagera wanavyopenda muziki huo wa dansi.

Msanii wa Muziki wa Dansi Hafsa Kazija ilibidi asimame baada ya kukunwa kisawasawa na wazee masauti wazee wa kisingine Twanga Pepeta!!!

Dakika chache zilimsogeza Hafsa Kazinja kuwa sehemu ya burudani nae.

Kweli wanaweza!!! Twanga!
Dogo Rama aka Kilimita 10,000!!
Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’  wakendelea kutumbuiza..
Bad Bakule nae alikuwepo kwenye bendi hiyo pendwa kuhakikisha anawasha moto vilivyo!

Mkali asiyefunikika kwa akinadada muziki wa dansi nchini Luiza Mbutu 'Sauti ya Twanga' Mwenye vazi jeupe katikakati akiwatumbuiza wakazi wa Kagera

usipime!!


Wazungu kama kawaida yao kwenye Kiunga hiki cha Linas Club!!! na hapa walikuwa wafurahia muziki wa dance usiku kutoka kwa Twanga pepeta
Mkali asiyefunikika kwa akinadada muziki wa dansi nchini Luiza Mbutu akifanya vitu vyake jukwaani
Wadau
Mwinyi na Patrick ndio usichemeeeee!!!

Kalala Junior (katikati) akibanjuka na muziki aina ya dansi
Hapa ni kutwanga na kupepeta tu!!

Wanenguaji wa Twanga pepeta wakicheza moja ya muziki wao wa kutwanga na kupepeta

Dadaz nao walikuwepo kushuhudia muziki huo wa dance kutoka kwa Twanga pepeta
Vijana kazi wa Radio Kasibante Fm 88.5 nao walikuwepo kuvuta upepo ukumbini hapo Linas, Dj Slay na Denis

Willy Kiroyera kushoto akizimika!!
Mambo ya kisigino
Wazee wa burudani Kagera, wakisugua kisigino chini
Haji bwana.. asikwambie mtu cheki anavyosugua kisigino!!
Raha  kuwa kwenye kisima cha burudani ndio hii ...Twanga pepeta
Luiza Mbutu 'Sauti ya Twanga'  akipagawisha wakazi wa Kagera na hapa alikuwa speed 120!!!

Usimpimie Willy O. Rutta wa Kiroyera hapa kashapandwa na Nyimbo za Twanga
Raha ya muziki wa Twanga Pepeta ndio hii!!!
Ngoma ya kusugua kisigino inogile.....

Wadau mbalimbali walijitokeza kwa wingi kuwashuhudia Twanga pepeta maana ilikuwa ni kitambo tangu waje hapa Bukoba tangu 2006
Mhh!!!
Hafsa kazinja nae alikuwepo eneo hilo la burudani kuburudikaShangwe mwanzo mwisho!!
Katika kukaanga chips!!!
Acha aitwe Luiza Mbutu....!!! maaana anajua!!!


Taswira!!

Mikogo!!
Tafashi na wewe!!!

Mnataka tena!!

1,2,3 pozi!!!
Full mlipuko!!! kaka mkuu angalia !!
Na nyie!! ni wanaTwanga au!!!

Chinaaa!!!! Umetokelezea!!
Pamoja sana wadau!
Hakika nimeburudika!!!
Luiza Mbutu kidogo ajisahau acheze ngoma ya kihaya!!!
Mwinyi Zeko katikati akijiita Twanga Pepeta usiku huu!!!
Leo ni leo !!! acha makamuzi yaendelee

Ilikuwa ni balaa!
Ukisikia hii meza ni Milionea basi ni kila kitu hapa!!!Bw. Denis kulia akiwatazama Twanga Pepeta
Picha ya Pamoja!!

...Mpaka asubuhi makamuzi!!!

Vijana wa Burudani Bukoba
Hapa ndipo sehemu yetu pendwa!! Muziki wa dance 100%
pamoko sana!

No comments:

Post a Comment