Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa katika siku yake ya mwisho ya ziara alitembelea kiwanda cha kahawa cha Amimza kilichoko katika Manispaa ya Bukoba kata ya Kitendaguro maeneo ya Kibuye.Waziri Mkuu ameridhishwa na utendaji na uzalishaji wa kahawa ya kukaanga (Roasting coffee) na ufungaji wake,Ameutaka uongozi kuweka jitihada zaidi katika kupanua kiwanda na kununua kahawa nyingi kwa wakulima ili waweze kuongeza uzalishaji zaidi na kuongeza ajira kwa wananchi.(katika picha wa pili kushoto mmiliki wa kiwanda ambae pia ni mwenyekiti wa bodi ya kahawa Nchini Amir Amza akitoa maelezo kwa Waziri mkuu).
,Muonekano wa Kiwanda.
Walikwa kutoka benki mbalimbali nchini.
Mmiliki wa Kiwanda Amir Amza (kushoto )akiwa na Bw Dunga.
Waalikwa wakiwasili eneo la Kiwanda.
Waziri Mkuu akisalimiana na uongozi wa Kiwanda.
Baada ya ugeni kuondoka salama, ni furaha.
No comments:
Post a Comment