Club ya Wafanyabiashara wa NMB Bukoba wamekutana na uongozi wa juu wa NMB Benki katika Mkutano wao wa kawaida unaofanyika kila mwaka katika ukumbi wa ELCT Bukoba hotel.Katika mkutano huo wanaclub ya Wafanyabiashara Bukoba walipata fursa ya kuongelea changamoto mbalimbali wanazokutana nazo katika biashara na kushauri baadhi ya mambo kufanyiwa marekebisho ili waweze kufanya biashara vizuri,Viongozi wandamizi wa NMB Benki walipta wsa wa kujibu changamoto mbalimbali zilizotoliwa na Club ya Wafanyabishara,Pia Mkurugenzi wa Mikopo NMB Benki Bw Tom Borghols aliwaomba wafanyabiashra kushauri nini kifanyike ili uongozi wa juu uweze kuona namna bora ya NMB Benki kutoa huduma bora kwa wateja wake.Mbali na mazungumzo yaliyofanyika, pia wana club ya wafanyabiashara wa Bukoba walipata mafunzo mbalimbali ya kukuza biashara .
Mwenye kipza sauni ni Bw Donatuss Richard, Mkuu wa Idara ya Biashara ndogo na kati akizungumza na Club ya Wafanyabiashara.
Mfnyabiashara akieleza moja ya changamoto anazokutana nazo katika biashara.
Bw Abraham Augustino Meneja wa Kanda ya ziwa NMB Benki akizungumza.
Bw Rama mfanyabiashara alietunukiwa cheti na NMB Benki kutambua namna anavyofuata taratibu za Benki.
Mwenyekiti wa Club ya Wfanyabishara Bukoba Bw Faustine Karugendo akiongea.
Mkurugenzi wa Mikopo NMB Bank PLC Bw Tom Borghols akizungumza na wanaclub Mkoa Kagera katika ukumbi wa ELCT Bukoba hotel.
Harrah's Cherokee Casino - MJH Hub
ReplyDeleteHarrah's Cherokee Casino and Hotel is located in the mountains in 정읍 출장안마 the beautiful mountains of Western 평택 출장안마 North 구리 출장마사지 Carolina 의정부 출장샵 and is 경기도 출장샵 open daily 24 hours. Harrah's Cherokee