Monday 24 July 2017

MA THEONESTINA JOHN BALYAGANGE WA IBOSA KASHANGATI BUKOBA,ASHEREKEA MIAKA 80 YA KUZALIWA.

 Cheko, furaha vilitawala katika familia ya Ma Theonestina John Balyagane wa Ibosa Bukoba vijijini waliposhuhudia tukio la kihistoria la kutimiza miaka 80 ya kuzaliwa,watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe, majirani na ndugu walikusanyika kwa pamoja kusherekea na kumshukuru mwenyezi mungu kwa kumpa umri mrefu wa kuishi Ma Theonestina.(katika picha akiwa na wanae.)
 Katikati Ma Theonestina katika ubora wake.
 Wanakwaya walioshiriki misa ya shukrani.
 Wajukuu
Jamcobukoba.blogspot.com inakutakia maisha marefu Ma Theonestina John.

No comments:

Post a Comment