Monday 10 April 2017

MEYA MANISPAA YA BUKOBA ATOA WITO KWA SERIKALI KUUNGA MKONO JITIHADA ZA KUENDELEZA ELIMU

Meya wa Manispaa ya Bukoba Chief Kalumuna ametoa wito kwa serikali ya awamu ya tano kuwaunga mkonona kuwawezesha watanzania wanaowekeza katika elimu kwa kujenga mashule kwa kutowawekea  vikwazo na urasimu wanapoamua kuwekeza katika elimu,Mstahiki meya aliyasema hayo alipokuwa akiongea na wazazi wa wanafunzi wa  shule ya Henry English medium primary and pre primary school iliyoko katika kata ya Rwamishenye Manispaa ya Bukoba wakati wa hafla ya kufunga muhula wa kwanza.(katika picha wa tatu kushoto ni Meya Chief Kalumuna akiwa na viongozi mbalimbali.)
Muonekano wa kazi.
Kushoto, mstahiki meya, mkurugenzi mkuu wa shule Bw Simeo,mwana na mkewe, wa mwisho ni afisa Elimu Msaidizi Manispaa ya Bukoba.


Wakurugenzi wa Henry English Medium primary and pre primary school.

No comments:

Post a Comment