Tuesday 13 December 2016

MAREHEMU JASSON MUHANGI MUKWENDA AZIKWA NYUMBANI KWAKE MARUKU KANYANGEREKO BUKOBA.

 Mamia wa wananchi kutoka sehemu mbalimbali walifika nyumbani kwa marehemu Jasson Muhangi Mukwenda kwa ajili ya kushiriki mazishi, marehemu alifia jijini Dar es salaam na mwili kusafirishwa  na kuzikwa nyumbani kweke Maruku Kanyangereko Bukoba. Marehemu ameacha mjane na watoto.
 Watotowa marehemu wakiwa katika majonzi.
 Kushoto ni mjane wa marehemu.
 Wajukuu.
 Mjane akiaga mwili wa marehemu mme wake.
 Historia ya maremu ikasomwa.
 Mtoto wa marehemu akitoa neno la shukrani.
 Rambirambi zikatolewa.

No comments:

Post a Comment