Sunday 9 October 2016

NMB BUKOBA WATEMBELEA WODI YA WATOTO, WAZAZI NA WAFUNGWA NA KUTOA MSAADA,WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA.

 Katika muendelezo ya wiki ya huduma kwa mteja benki ya NMB Bukoba wametembelea  wagonjwa katika hospital ya mkoa wa Kagera na kutembelea wodi ya watoto, wazazi na wodi ya wafungwa na kutoa msaada  wa vitu mbalimbali kwa ajili ya matumizi yao wakiwa katika matibabu, vitu vilivyotoliwa kwa wagonjwa ni sukari, juisi, sabuni, na vitu vingine.
 Meneja wa tawi la NMB Bukoba akiwa katika wodi ya wazazi.

No comments:

Post a Comment