Thursday 8 October 2015

KAGASHEKI AKITAFUTA KURA NCHI KAVU NA MAJINI,SAFARINI KUELEKEA KISIWA CHA MSIRA BUKOBA

 Mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini ccm Balozi Khamis Kagasheki(kushoto mwenye miwani) akivaa boya tayari kwa safari ya kuelekea kisiwa cha msira kwenye kampeni.
 Safari ya kuzitafuta kura.

 Ni mapokezi katika kisiwa cha msira
 Ni katika kisiwa cha msira, takribani watu mianne wanaishi na kujishughulsha na uvuvi.
 Kagasheki akipokewa kwa shangwe na mgombea udiwani bw Richard Gaspar .
 Ccm mbele kwa mbele.
 Bw Fresh akimnadi mgombea udiwani.
Safari ya kurudi nchi kavu ikaanza.

No comments:

Post a Comment