Monday 23 May 2016

RHODA MACHUMU AFANYIWA BONGE LA SEND OFF PARTY LINA'S BUKOBA MANISPAA.

Bi Rhoda Machumu katika ubora wake,akiwa katika viwanja vya Kolping hotel kabla ya kuelekea ukumbini Lina's, kwa ajili ya sherehe ya kumuaga,Ilikuwa ni bonge la sherehe kubwa iliyokusanya watu kutoka pande mbalimbali, ndani ya nchi na nje.
Kolping hotel.
Katika pozz tofauti.
Akiwa na Matron wake.
Dalili nzuri,unafanya kitu ukiwa na uhakika.
Kushoto ni Bw harusi mtarajiwa Renovatus Mutairuka akiwa na patroni, muda mfupi wakiwa The Sky Motel kabla ya kuelekea ukumbini.
Wazazi upande wa Bi Harusi mtarajiwa.
Wageni upande wa Bw HJarusi mtarajiwa wakiingia ukumbini.
Wajanja utawajua tu.
Full shangwe.
Ekotite, Bi Judy Zachwa.
Bi Jack(baby face) katika ubora wake.
Mwenyekiti akifungua sherehe.
Utawapenda.
Huyu ndio niliemchagua, naweka mambo hadharani..
Waitu bazaile bange ogwu niwe wange.
Twamukunda, omushaija emanzi.
Rangi ya mtume.
Patron katika ubora wake.
Keki ikakatwa.
Wa mjini wakaenda kupokea keki.
Msanii Nshomile Family akitoa mistari kuhusu ndoa.
WAZAZI WA BI HARUSI MTARAJIWA KTK UBORA WAO.
Zawadi kutoka kwa mama mzaa chema.

Mama mtaalam wa keki.
Jamcobukoba.blogspot.com inawatakia kila lakheri katika ndoa yenu inayofungwa 4-6-2016 huko Dar.

No comments:

Post a Comment