Monday 23 June 2014

POOL PARTY WALKGARD HOTEL KASHURA YAFANA,JACKLINE MREMA MGENI RASMI

 Mgeni rasmi Jackline Mrema mwanasheria mwandamizi wa Serikali (katikati) akimkabidhi zawadi mzee Vedasto alietoa ushindani mkubwa sana katika kuonyesha utaalamu katika staili mbalimbali za kuogerea,pamoja na kuwa na umri mkubwa mzee huyu alionyesha umairi mkubwa sana, na pembeni ni Bw Ibra kadabra mkurugenzi wa Mtoka investment waandaaji wa Pool party 2014
 Mzee Vedasto mwenye kibaragashia anazofani nyingi kwenye draft huko amebobea
 Viliandaliwa vitu tofauti tofauti hawa wapo kwenye darts,mdada akionyesha uwezo wake
 Ni kinywaji
 Ukafika wakati wa kuogerea
 Mambo ya pool party
 Mc jerry kila kona unamkuta,furaha, mojonzi yumo.
 Mgeni rasmi akisalimiana na washindani wa kuogerea
 Maisha yakiendelea,unakunywa na kula
 Kijana kutoka chuo cha Jokuko mtaalamu wa kuogerea hakuna mfano wake
 Hapa kinywaji , karata na story vikiendelea
 Bw Husein Abdalah akipokea zawadi ya mshidi wa pili katika kuogerea
 Mgeni rasmi akimpongeza mzee Vedasto kwa umairi wake katika kuogerea
 Kijana White kutoka Jamco barber shop akifuatilia mambo ya pool party kwa makini
 Mtu mzima Fide akiwa na mtarajiwa
 Mdau mkubwa wa Jamcobukoba.blogspot.com
 Mwiba akisababisha
 Love & peace
 wanahita shishaaa
Mukhusin akishare love na wadada

No comments:

Post a Comment